DKT SAMIA MGENI RASMI UZINDUZI WA MKAKATI WA TAIFA WA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA MWAKA 2024-2034
Mhe.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Leo Mei 8, 2024 anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi Kwenye Uzinduzi Wa Mkakati Wa Taifa Wa Matumizi Ya Nishati Safi Ya Kupikia ya Mwaka 2024-2034, utakaofanyika kwenye ukumbi wa JNICC Jijini Dar es salaam.
