TSH BIL 2.6 ZALIPWA WALIOPISHA UMEME JUA

TSH BIL 2.6 ZALIPWA WALIOPISHA UMEME JUA

TSH BIL 2.6 ZALIPWA WALIOPISHA UMEME JUA

SHINYANGA
Jumla ya shilingi bilioni 2.6 zimelipwa kwa wananchi 109 waliopisha mradi wa Kuzalisha Umeme wa Jua megawati MW 150 Mkoani Shinyanga, hatua inayopelekea mkandarasi kuendelea na ujenzi wa mundombinu ya kuzalisha umeme na mradi unatarajiwa kukamilika Januari 2025.