RAIS SAMIA MGENI RASMI MKUTANO WA MAWAZIRI WA SHERIA
TAARIFA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola unaotarajiwa kufanyika Machi 4 hadi 8, mwaka 2024 Zanzibar.