KONGAMANO LA BIASHARA TZ ,MALAWI KUFANYIKA DAR
DAR ES SALAAM
Tanzania na Malawi zinaandaa kongamano la kibiashara litakalofanyika Jijini Dar es salaam mwezi Mei mwaka huu 2024 lenye lengo la kuimarisha uhusiano uliopo kati ya nchi hizi mbili, pia kuboresha ushirikiano katika sekta za Nishati, Utalii, Kilimo na Madini,kibiashara na uwekezaji
