KITUO CHA HUDUMA MPAKA WA KASUMULU SASA NI 90%

 

KITUO CHA HUDUMA MPAKA WA KASUMULU  SASA NI 90%

KITUO CHA HUDUMA MPAKA WA KASUMULU  SASA NI 90%

MBEYA
katika jitihada za kukabiliana na msongamano wa magari, serikali imekuwa ikitekeleza mradi wa kituo kimoja cha vituo vya huduma katika mpaka wa Kasumulu unaounganisha Tanzania na Malawi, wenye thamani ya zaidi ya bilioni 26, huku ujenzi ukiwa umefikia zaidi ya 90% hivi sasa.
Aidha hadi sasa, serikali kupitia TANROADS imeanza ujenzi wa barabara mpya, ikiwa ni pamoja na mradi wa barabara ya njia nne kutoka Nsalaga hadi eneo la Ifisi (kilomita 29), ambapo jumla ya shilingi bilioni 138 zimetengwa kwa ajili  ya mradio huo.