BARABARA CHUNYA –MAKONGOLOSI TSH BIL 67 ZATUMIKA.MBEYA Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetumia kiasi cha shilingi bilioni 67 kwa ajili ya utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Chunya – Makongolosi yenye urefu wa kilometa 39.