DKT SAMIA AKUTANA NA MAWAZIRIDODOMARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo April 25,2024 amekutana na mawaziri na kuongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.