DKT SAMIA AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA BI FATOU
DODOMA
Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan leo April 23 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Bi. Fatou Harerimana Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma alipofika kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Tanzania tarehe 23 Aprili, 2024