TSH BIL 2.9 ZAWATUA NDOO KICHWAN WANA-KIBONDO

TSH BIL 2.9 ZAWATUA NDOO KICHWAN WANA-KIBONDO

TSH BIL 2.9 ZAWATUA NDOO KICHWAN WANA-KIBONDO

KIGOMA
Jumla ya shilingi  bilioni 2.9 zimefanikisha  kuwatua ndoo kichwani kina mama wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma na kuwapunguzia adha ya kwenda umbali mrefu kufuata maji safi na salama.
Hatua hii inafuatua baada ya serikali ya awamu ya sita kutoa ruzuku ya kiasi tajwa cha fedha na  kuimarisha upatikanaji wa huduma ya Maji na kuongezeka kutoka 37.12%  (2020/2021) hadi kufikia 67.64% katika kipindi cha 2022 - 2024.
#BiMkubwaKazini