TSH BIL 160 ZAINGIZA WANAFUNZI 1,073,941 DARASANI
DAR ES SALAAM
Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassana kwa Mwaka 2022/23 ameidhinisha kiasi cha shilingi bilioni 160 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa elfu nane kwenye Halmashauri zote 184 Nchini na kufanikisha kuwaingiza darasani wanafunzi walichaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2023 wapatao 1,073,941
#BiMkubwaKazini
