TUNAWATAKIA IJUMAA KUU NJEMA!
“Hapo ilikuwa yapata saa sita, kukawa giza juu ya nchi yote hata saa kenda,jua limepungua nuru yake; pazia la hekalu likapasuka katikati.Yesu akalia kwa sauti kuu, akasema, Ee Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu.” Luka 23:44-46