TSH BIL 37 KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VITUO VYA AFYA

TSH BIL 37 KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VITUO VYA AFYA

TSH BIL 37 KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VITUO VYA AFYA

MWANZA
Serikali imetumia Zaidi ya shilingi bilioni 37 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya afya kwenye vituo vya afya na zahanati zilizopo vijijini Mkoani Mwanza lengo likiwa ni kuisaidia jamii katika mapambano ya magonjwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu
Fedha hizo zimetumika kama gharama ya kusambaza umeme katika vituo vya afya na pampu za maji vijijini ambapo hadi sasa umevifikia vituo vya afya 57 pamoja na pampu za maji 353
Mradi huo utasaidia utoaji wa huduma za afya kwa wananchi ikiwemo kupata chanjo na vipimo vingine vya maabara na utunzaji wa takwimu.
FAIDA:- Kuongeza ufanisi wa kutoa huduma kwa wagonjwa kwani  vituo vya afya ambavyo vilikuwa vinafungua saa 12 sasa vitalazimika kufanya kazi kwa masaa 24 hivyo kuongeza idadi ya wagonjwa wanaohudumiwa