JULAI-DISEMBA KILOSA WALIPOKEA TSH BIL 31+

 

JULAI-DISEMBA KILOSA WALIPOKEA TSH BIL 31+

JULAI-DISEMBA KILOSA WALIPOKEA TSH BIL 31+

MOROGORO
Kwa kipindi cha Julai hadi Disemba 2023 Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro imepokea kiasi cha shilingi 31,816,595,748.90 fedha ambazo zimetekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika sekta ya huduma za kijamii na kiuchumi 
Jumla ya miradi kumi ya maendeleo ikiwemo barabara, madaraja na makaravati huku miradi mingine ikitarajiwa kuanza ikiwemo ongezeko la Kilometa moja katika barabara ya Kidodi Vidunda itakayogharimu shilingi milioni 700.