HONGERA DKT SAMIA, UJENZI WA MADARASA & NYUMBA ZA WALIMU

 

HONGERA DKT SAMIA, UJENZI WA MADARASA & NYUMBA ZA WALIMUHONGERA DKT SAMIA, UJENZI WA MADARASA & NYUMBA ZA WALIMU

HONGERA DKT SAMIA, UJENZI WA MADARASA & NYUMBA ZA WALIMU

DODOMA
Bimkubwa Tanzania tunachukua nafasi hii kumpongeza Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa katika kuboresha miundombinu ya elimu, kwani katika kipindi cha kuanzia April 2021 hadi Februari 2024 amefanikisha kuongeza Idadi ya Vyumba vya Madarasa vya Shule za Msingi kutoka 132,389 mwaka 2021 hadi kufikia Vyumba vya Madarasa 167,284 mwaka 2024 sawa na ongezeko la vyumba vya madarasa 34,895.
Pia Idadi ya nyumba za Walimu kwa Shule za Msingi zimeongezeka kutoka 44,500 mwaka 2021 hadi kufikia nyumba 47,917 mwaka, 2024 sawa na ongezeko la nyumba 3,417. Pia, nyumba za Shule za Sekondari imeongezeka kutoka nyumba 14,343 mwaka 2021 hadi kufikia nyumba 14,567 mwaka 2024 sawa na ongezeko la nyumba 224.
#HongeraBimkubwa
#Kaziinaonekana