DKT SAMIA NA WANAWAKE WA TAWIFA NA MIF
ZANZIBAR
Rais Samia Suluhu Hassan leo Machi 14 ameshiriki kwenye Tamasha la uzinduzi lililoandaliwa na Wanawake Sekta ya Fedha ( TAWIFA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Mwanamke Initiatives (MIF) pamoja na TIRA.
Tamasha hilo limefanyika katika hoteli ya Kwanza, Kizimkazi Zanzibar tarehe 14 Machi, 2024.
