2022/23 TSH BIL 263 ZILIENDA MTWARAMTWARAKatika Mwaka wa fedha 2022/23, Mkoa wa Mtwara uliidhinishiwa jumla ya Shilingi 262,461,442,119 (Bilioni 263.29) kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida na Miradi ya Maendeleo kutoka Ruzuku ya Serikali kuu pamoja na makusanyo ya ndani ya Halmashauri.