MRADI WA EACOP WAJA NA NEEMA KWA VIJANA

MRADI WA EACOP WAJA NA NEEMA KWA  VIJANA

MRADI WA EACOP WAJA NA NEEMA KWA  VIJANA

TABORA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imesema mradi wa bomba la mafuta ghafi(EACOP ) kwa upande wa Tanzania umepunguza umaskini kwa kuwapatia vijana ajira na kuwajengea nyumba nzuri ambazo awali kabla ya kuhamishwa hawakuwa nazo.
Chanzo:- (PAC) walipotembelea mradi huo wa kupozea mafuta ghafi uliopo kijiji cha Sojo kata ya Ugusile Wilaya ya Nzega mkoani Tabora.
Msemaji wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi kwa Afrika Mashariki (EACOP) GUilaume Mallevary amesema mradi huu uko vizuri na shughuli zote walizozianisha wameanza kuzitekeleza na mitambo imejengwa tayari na mabomba yamewasili kwa wingi.
ZINGATIA:- Bomba la mafuta linatokea nchini Uganda Hoima hadi nchini Tanzania Mkoa Tanga Chongoleani likiwa na urefu wa kilomita 1443