TSH BIL 21 ZATEKELEZA MIRADI 37 YA MAJI SINGIDA
SINGIDA
Serikali ya awamu ya sita Kuanzia 2021 hadi mapema 2023 imeipatia Ofisi ya RUWASA (Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini) jumla ya Shilingi Bilioni 21.758 kwa ajili ya kutekeleza miradi 37 ya maji vijijini,hatua iliyowanufaisha wakazi 955,131 katika Mkoa wa Singida
