TANGANYIKA WAPEWA TSH BIL 815 MIRADI YA MAENDELEO

TANGANYIKA WAPEWA TSH BIL 815 MIRADI YA MAENDELEO

TANGANYIKA WAPEWA TSH BIL 815 MIRADI YA MAENDELEO

KATAVI
Serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha Sh bilioni 815 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika sekta za Afya, Elimu, Maji na Barabara Kwa Hamashauri ya Tanganyika Mkoani Katavi.
Lengo la kupeleka miradi hii ni kusogeza huduma za msingi karibu na wananchi.