DKT SAMIA AZUNGUMZA KWENYE JUKWAA LA BIASHARA.

 

DKT SAMIA AZUNGUMZA KWENYE JUKWAA LA BIASHARA.

DKT SAMIA AZUNGUMZA KWENYE JUKWAA LA BIASHARA.

NORWAY
Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amezungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Biashara lililowahusisha Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Tanzania na Norway Jijini Oslo Nchini Norway ikiwa ni muendeleoz wa ziara yake ya kitaifa  Nchini humo baada ya kupokea mwaliko kutoka kwa mfalme Harald V.
Pamoja na masuala mengine ziara hii ina lengo la kukuza na kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Norway kupitia sekta mbalimbali zikiwemo biashara, uwekezaji, nishati kama mafuta na gesi, elimu na masuala ya kodi na utawala bora.
Kuimarisha na kukuza sekta ya nishati hususan kutekeleza miradi ya usambazaji umeme vijijini, kushirikiana katika program za utafiti na uchimbaji wa mafuta na gesi, kukuza sekta za biashara, uwekezaji na utalii.
SHUKRANI BIMKUBWA, HII NDIO MAANA HALISI YA DIPLOMASIA YA UCHUMI.