RUNGWE WANUFAISHWA NA TSH BIL 1 ZA TASAF

 

RUNGWE WANUFAISHWA NA TSH BIL 1 ZA TASAF

RUNGWE WANUFAISHWA NA TSH BIL 1 ZA TASAF

MBEYA
Takribani miradi 200 yenye thamani ya shilingi bilioni 1 imetolewa na serikali ya awamu ya sita kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF) katika vijiji vya Nzunda na Syukula wilayani Rungwe mkoani Mbeya.
Miradi hiyo, ikiwa ni pamoja na ujenzi wa madaraja mawili,ambayo iliweza kutoa ajira za muda kwa wakazi hao. Kulingana na walengwa, madaraja hayo yana nafasi kubwa, hasa wakati wa mvua.