RUVUMA WAPOKEA MAGARI 13 YA WAGONJWA

 

RUVUMA WAPOKEA MAGARI 13  YA WAGONJWA

RUVUMA WAPOKEA MAGARI 13  YA WAGONJWA

RUVUMA
Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe Rais Samia Suluhu Hassan imetoa magari 13 kwa ajili ya kubebea wagonjwa na kufanyia usimamizi shirikishi katika sekta ya afya Mkoa wa Ruvuma.
Chanzo:- Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Dk Louis Chomboko kwenye hafla ya kukabidhi magari sita  mapya,iliyofanyika katika viwanja vya ukumbi wa Chandamali mjini Songea.
Awamu ya kwanza walipokea magari saba na awamu ya pili serikali imepeleka magari sita ili kutimiza lengo la magari 13 ambapo kati ya hayo magari tisa ya kubebea wagonjwa na magari manne ya usimamizi.