RAIS SAMIA ASHIRKI JUKWAA LA NISHATI LA OSLO.

RAIS SAMIA ASHIRKI JUKWAA LA NISHATI LA OSLO.

RAIS SAMIA ASHIRKI JUKWAA LA NISHATI LA OSLO.

NORWAY
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan leo Februari 14,2024  ameshiriki kwenye jukwaa la nishati la Oslo ikiwa ni miongoni mwa utekelezaji wa ratiba yake akiwa kwenye ziara ya kitaifa nchini Norway, baada ya kupata mwaliko kutoka kwa Mfalme Harald na malkia Sonja wa Norway.