IRINGA KWA MWAKA HUPOKEA TSH BIL 250

 

IRINGA KWA MWAKA HUPOKEA TSH BIL 250

IRINGA KWA MWAKA HUPOKEA TSH BIL 250

IRINGA
Serikali ya awamu ya sita imekuwa ikipeleka kiasi cha shilingi bilioni 250 Mkoa wa Iringa kwa  kila mwaka wa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa shule, barabara, hospitali na umeme.
Aidha Wilaya zote za Mkoa huo zimeunganishiwa umeme kwa kuzingatia Ilani ya Uchaguzi ya Chama Tawala ya CCM 2020/2025 inayolenga kusambaza umeme nchi nzima ifikapo 2025.