THS BIL 5.4 ZAJENGA SHULE KATAVIKATAVISerikali ya awamu ya sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi bilioni 5.4 katika Mkoa wa Katavi kwa lengo la kuboresha miundo mbinu ya elimu katika mkoa huo, Kiasi hicho cha fedha kimefanikisha ujenzi wa shule mpya 10.