TANZANIA NA MAREKANI KUIMARISHA UHUSIANO

 

TANZANIA NA MAREKANI KUIMARISHA UHUSIANO

TANZANIA NA MAREKANI KUIMARISHA UHUSIANO

MOROGORO

Serikali imeidhinisha fedha kwa ajili ujenzi wa barabara mpya zenye urefu wa kilometa 612.14 kwa kiwango cha lami mkoani Morogoro  huku miradi hiyo ikitarajiwa kuufungua mkoa huo kwa kuunganisha halmashauri zake zote.

Miradi hiyo ya ujenzi wa barabara ya ni pamoja na  Ubena Zomozi - Ngerengere (Km 11.6), barabara ya Ifakara - Mbingu (km 62.5),  barabara ya Mbingu - Chita JKT (km 37.5), barabara ya Ifakara - Lupiro - Mahenge/ Lupiro - Malinyi- Kilosa kwa Mpepo- Londo - Lumecha na Malinyi JCT - Malinyi (km 422.54) na barabara ya Bigwa - Mvuha (km 78) pamoja na madaraja ya Ruvu na Mvuha.Barabara hizi zote zikikamilika zitainua uchumi wa ZANZIBAR.

Marekani imejitolea kupanua uhusiano wake na Tanzania katika miaka ijayo, hii ni Kwa mujibu wa Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Michael Battle kutokana na  sherehe za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Amaan tarehe 12, Januari 2024.

Kupitia ukurasa wake wa twitter ( sasa hivi X)  Balozi huyo ameandika “Tunaungana nao katika kuadhimisha Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Marekani inathamini urafiki na ushirikiano wetu wa muda mrefu na wa kudumu na watu wa Zanzibar ” Balozi Battle amesisitiza.wananchi wa mkoa wa Morogoro pamoja na kuchochea maendeleo yake maana ni barabara za kimkakati.