SERIKALI KUTUPIA JICHO MIUNDOMBINU VIWANJA VYA NDENGE

 

serikali kuboresha miundombinu ya viwanja vya ndenge

SERIKALI KUTUPIA JICHO MIUNDOMBINU VIWANJA VYA NDENGE

KIGOMA
SERIKALI imesema itaendelea kujenga na kupanua miundombinu ya viwanja vya ndege ili kujihakikishia utoaji wa huduma ndani ya nchi na nchi jirani
Chanzo:- Wizara ya uchukuzi
Serikali inachukulia sekta ya uchukuzi kwa njia ya anga kama mishipa ya ukuzaji uchumi na shughuli mbalimbali za utoaji huduma kwa wananchi ndani na nje ya nchi ndiyo maana imewekeza fedha nyingi kwenye maboresho,ukarabati na upanuzi wa viwanja vya ndege na ununuzi wa ndege kwa ujumla