MWENYEKITI WA CCM DKT SAMIA AANZA ZIARA YA KICHAMA VISIWANI ZANZIBAR

MWENYEKITI WA CCM DKT SAMIA AANZA ZIARA YA KICHAMA VISIWANI ZANZIBAR 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan leo Januari 17,2024 amezindua ofisi ya Chama Tawi la Chaani Masingini iliyopo Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati wa Ziara ya Kikazi Visiwani Zanzibar.Ujenzi wa ofisi hiyo umegharimu Shilingi Milioni 248 ambapo ndani yake Kuna ofisi za Jumuiya zote za Chama.

Aidha Dkt Samia ametoa wito kwa Wanachama kujiandaa na chaguzi lakini pia kudumisha Umoja na Mshikamano.