LWAWUMBU WAPOKEA TSH MIL 336(ELIMU)
NJOMBE
Kiasi cha shilingi milioni 336 (336,000,000.00) kimetolewa na serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassan ili kukamilisha ujenzi wa vyumba 12 vya madarasa na matundu ya vyoo 18 katika shule ya sekondari Usililo kwa ajili ya kidato cha V na vi iliyopo katika kata ya Luwumbu wilayani Makete Mkoa wa Njombe.