DKT SAMIA AKAGUA GWARIDE INDONESIA
INDONESIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekagua Gwaride la heshima akiwa na mwenyeji wake Rais wa Indonesia Joko Widodo wakati wa mapokezi yake Rasmi katika viwanja vya Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari, 2024.
Aidha Mhe Dkt Samia amepanda mti wa kumbukumbu akiwa katika makazi hayo ya Rais Widodo.Dkt samia yupo ziarani nchini Indonesia kuanzia Januari 24 hadi 26, 2024.