BARABARA MBANDE-MSONGOLA YAJENGWA KWA LAMI

 

BARABARA MBANDE-MSONGOLA YAJENGWA KWA LAMI

BARABARA MBANDE-MSONGOLA YAJENGWA KWA LAMI

DAR ES SALAAM
Serikali kupitia wizara ya ujenzi inajenga barabara ya Mbande hadi Msongola yenye urefu wa kilometa 3.8  kwa kiwango cha lami na ujenzi unatekelezwa na mkandarasi wa mradi, kampuni ya Jonec (T) Limited  na tayari hadi sasa umefikia 50% na unatarajiwa kukamilika ndani ya kipindi cha mwaka mmoja.
Barabara ya Mbande-Msongola ni muhimu kwa kuunganisha wilaya za Ilala, Temeke, na Mkuranga hivyo uwepo wa barabara hiyo kwa kiwango cha lami itarahisiha shughuli za kiuchumi.
Tunapatikana Instagram,Facebook,X, TikTok, YouTube:-BimkubwaTanzania.