MHE.RAIS SAMIA ASHIRIKI MAJADILIANO KUHUSU KILIMO
MAREKANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya majadiliano (round tables discussion) na wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo ikiwemo Viongozi wa Serikali ya Marekani, wamiliki wa makampuni binafsipamoja na Taasisi zisizo za Kiserikali (NGOs) tarehe 31 Oktoba 2024, mjini Iowa, Marekani.
Mazungumzo hayo yalijikita katika kujadili fursa mbalimbali za uwekezaji katika sekta ya kilimo zinazopatikana Tanzania na namna Tanzania inavyoweza kunufaika kupitia wawekezaji hao.
Kaa nasi kwa taarifa zaidi.
