TSH BIL 190.04 KUJENGA BARABARA KM 63.66
DAR ES SALAAM
Serikali kupitia TAMISEMI Oktoba 24, 2024 imeshuhudia utiaji saini wa mikataba nane ya awali yenye thamani ya shilingi Bilioni 190.04 inayokwenda kujenga jumla ya kilomita 63.66 za barabara zitakazojengwa kupitia mradi wa DMDP awamu ya pili katika Mkoa wa Dar es salaam.
