HII NI SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA MBEYA

HII NI SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA MBEYA

HII NI SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA MBEYA

MBEYA
Kwenye picha ni muonekano wa shule ya sekondari ya wasichana ya Mbeya (Mbeya Girls) ambayo imejengwa na serikali ya awamu ya sita kwa gharama ya shilingi bilioni 3 kutoka Serikali Kuu kwa chini ya mradi wa SEQUIP.
Shule hii ina jengo  moja la utawala, madarasa 12, matundu ya vyoo 16, maabara nne, bwalo moja, jengo moja la huduma ya kwanza (Sick-bay), mabweni nane na nyumba mbili za walimu.