TSH BIL 20.6 ZINAJENGA KIWANJA CHA NDEGE MIKUMI
MOROGORO
Katika jitihada za serikali za kuimarisha sekta ya utalii nchini imetoa kiasi cha shilingi bilioni 20.6 kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja cha ndege Kikoboga katika Hifadhi ya Taifa Mikumi Mkoani Morogoro.
Ujenzi huo upo katika hatua mbalimbali za utekelezaji.