UJENZI BARABARA TANGA-PANGANI NI 75%

 

UJENZI BARABARA  TANGA-PANGANI NI 75%

UJENZI BARABARA  TANGA-PANGANI NI 75%

TANGA
Serikali katika mwaka wa fedha 2023/24 imefanikisha ujenzi wa barabara  ya Tanga – Pangani (km50) umefikia 75% ya ujenzi wa km (174.5) kutoka Tanga-Pangani-Makurunge.
Aidha Ujenzi wa sehemu ya Pangani – Mkange (km 124.5) sehemu ya Tungamaa – Mkange (km 95.2) umefikia  33% na ujenzi wa daraja la Pangani umefikia 25%. 
Vievile, taratibu za manunuzi ya Mhandisi Mshauri kwa ajili ya kazi ya Upembuzi Yakinifu na Usanifu wa Kina wa barabara ya Mkata – Kwa Msisi (km 36) zinaendelea.