TAARIFA:MHE RAIS DKT SAMIA MGENI RASMI MKUTANO WA 38 JUMUIYA YA TAWALA ZA MITAA (ALAT)
TAARIFA
Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi kweny mkutano wa 38 wa Jumuiya ya tawala za mitaa (Alat) tarehe 23 April 2024, Golden Tulip,Zanzibar.