TEMEKE NA MKURANGA KUUNGANISHWA NA DMDP

 

TEMEKE NA MKURANGA KUUNGANISHWA NA DMDP

TEMEKE NA MKURANGA KUUNGANISHWA NA DMDP

DODOMA
Wilaya ya Temeke iliyopo Mkoa wa Dar es salaam na  wilaya ya Mkuranga ya Mkoa wa Pwani zinatarajiwa kuunganishwa kwa kujenga madaraja/makaravati ya Churwi,Tabowa na Majimatitu kupitia mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (DMDP).
Aidha mpaka sasa maeneo matatu ya Kilwa, Tambani na Rufu Nampombo yameunganishwa kwa madaraja/makalavati na yanapitika kwa mwaka mzima.