MHE. RAIS SAMIA NA RAIS DUDA WAKIWA PAMOJA IKULU
DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni wake Rais wa Poland Andrzej Duda, Ikulu Jijini Dar es Salaam (leo) tarehe 09 Februari, 2024 mara baada kumpokea na kufanya mazungumzo ya pamoja.
