DKT SAMIA AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI
INDONESIA
Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amezungumza na Wafanyabiashara pamoja na Wawekezaji wa Tanzania na Indonesia katika Mkutano wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji uliofanyika Jijini Jakarta katika muendelezo wa ziara yake ya Kitaifa nchini Indonesia tarehe 25 Januari, 2024.