JENGO LA ABIRIA ARUSHA AIRPOT NI 98%

 

JENGO LA ABIRIA ARUSHA AIRPOT NI 98%

JENGO LA ABIRIA ARUSHA AIRPORT NI 98%

ARUSHA
Kwa kutambua umuhimu wa kuwa na viwanja vya ndege vyenye ubora, serikali kupitia TAA imeendelea na uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Arusha ambapo ujenzi wa jengo jipya la abiria umekamilika kwa 98%.
Aidha TAA inaendeleakutekeleza miradi ya ujenzi kwenye majengo mapya ya abiria katika viwanja vya ndege vya Kahama na Kilwa Masoko,pia ujenzi wa jengo jipya la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Mpanda umekamilika kwa 97%. 
Aidha, Usanifu wa Kina wa Jengo la Mnara wa Kuongozea Ndege katika Kiwanja cha Ndege cha Bukoba umekamilika.